1
School of Library Archives and Documentation Studies

 


Selected Candidates
(Wanafunzi Waliochaguliwa kujiunga na SLADS 2011/2012)

Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na CHUO CHA UKUTUBI NA UHIFADHI NYARAKA (SLADS) BAGAMOYO  kwa mwaka wa masomo 2011/2012 majina yao yanapatikana katika orodha zifuatazo;

1. Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kozi ya stashahada (Diploma)
2. Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kozi ya cheti (Certificate)

Maelezo Muhimu
Maelezo muhimu yanapatikana katika form za kujiunga na chuo, ili kupata formu za kujiunga na kozi ya stashahada (diploma) BOFYA HAPA na kwa ajili ya kozi ya cheti (certificate) BOFYA HAPA.

BOFYA HAPA ili upate form za usajili kwa wanafunzi wanaoendelea na kozi ya stashahada (Diploma)

Kwa maelezo zaidi fika chuoni UKUNI-BAGAMOYO au piga simu namba 023 2440444 / 023 2440101

 

Home  |   About us  |   Programmes   | Life at SLADS
News & Features  |    Face book  |  Useful Links  |   Contact Us  |  TLSB Website