Ufunguzi wa Chuo

21 Oct, 2025

Wanachuo wote wa Mwaka wa Masomo 2025/2026 mnaarifiwa kuwa Chuo kitafunguliwa rasmi tarehe 03/11/2025 kwa mujibu wa ratiba ya NACTEVET.