Shauri za Kitaalamu
Moja ya maeneo ya msingi ambayo SLADS inashiriki ni kutoa huduma za ushauri kwa umma kwa ajili ya kuboresha utoaji wa huduma za umma, utungaji wa sera na mchakato wa uhandisi upya. Yafuatayo ni maeneo muhimu ambayo chuo kinahusika katika ushauri:
1. Mpango Mkakati na Biashara
2. Mpango wa Maendeleo ya Rasilimali Watu
3. Mifumo ya Usimamizi wa Utendaji
4. Utawala bora
5. Teknolojia ya Habari na Mawasiliano

