Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara

Unaweza kujiunga na chuo chetu kwa kutuma maombi kubitia mfumo wa NACTIVET  unaojulikana kama Online Application System ambapo mwanafunzi mwenye ufaulu wa D nne(4) usio jumuisha masomo ya dini. Baada ya mchakato NACTIVET itampangia kwenye kozi husika aliyoomba.  
Tafadhali wasiliana na ofisi ya academic
Tunatumia mfumo wa serikali (control number)..
SLADS ina Kampasi mbili ambazo ni Dar es Salaam, Bagamoyo  
Hapana kwa sasa hatujaanza kutoa Shahada ya Ukutubi tunatoa kozi hizo kwa ngazi ya Stashahada na cheti
Ukutubi na Uhifadhi nyaraka 
Lorem ipsum dolor sit amet,