WIKI YA UTUMISHI WA UMMA

14 May, 2025 9:00 AM-5PM DODOMA
WIKI YA UTUMISHI WA UMMA

TLSB inatarajia kushiriki wiki ya Utumishi wa Umma jijini Dodoma kwa kupeleka huduma mbalimbali ikiwemo usajili wa vitabu na majarida kwa namba tambuzi ISBN na ISSN pamoja na Udahii wa Wanafunzi wapya wa chuo cha SLADS.