Habari? Ningependa kujua utaratibu wa kujiunga na chuo
Unaweza kujiunga na chuo chetu kwa kutuma maombi kubitia mfumo wa NACTIVET unaojulikana kama Online Application System ambapo mwanafunzi mwenye ufaulu wa D nne(4) usio jumuisha masomo ya dini. Baada ya mchakato NACTIVET itampangia kwenye kozi husika aliyoomba.

