Tarehe ya Kufunguliwa Chuo
Tarehe ya Kufunguliwa Chuo

Wanafunzi wa Mwa Mwaka wa Kwanza 2025/2026 mnatakiwa kufika Chuoni kwa ajili ya programu ya  utangulizi kuanzia taereh 17/11/2025  kabla ya masomo rasmi kuanza